Sonzaschool
Back

Primary · Standard 7

Kiswahili

Hotuba

about 6 minutes to read

Discussions
Topics in this sectionHotuba1 topic
  1. Hotuba

Hotuba ni mazungumzo yanayofanywa na mtu kuhusu suala fulani mbele ya kikundi cha watu. Hotuba inaweza kutolewa na mwananasiasa kwa wananchi, walimu kwa wanafunzi, au mhubiri kwa waumini.

Hotuba hujikita kwenye suala kuu fulani, na inaweza kutolewa bila kuandaliwa. Hata hivyo mara nyingi hotuba huandikwa ili kumtayarisha msemaji vilivyo kuhusu lugha atakayoitumia, masuala atakayoyaongelea na mtiririko wa mawazo. Hata hivyo, hotuba nzima huwa haiandikwi, kwani kuna haja ya atakayeitoa kutayarisha vidokezo vya kumwelekeza.

  • Kuelimisha watu, mfano jinsi ya kujikinga na Korona (Covid-19).
  • Kutoa habari, mfano Waziri wa Elimu kueleza mabadiliko ya mtaala wa elimu.
  • Hotuba hupata jina lake kutegemeana na mada yake. Inaweza kuwa hotuba za kiafya, kisiasa, kielimu, kimazingira n.k.

Question

Sehemu gani ya hotuba hurejelea mada na hadhira?

Sign in to submit your answer and have it count toward your mastery.

Sign in to practice

Tutor

Stuck? Ask me anything about this topic.

Sign in to ask the Sonza AI Tutor about this question.

Sign in to ask

Discussions

No questions yet

Sign in to ask
Loading discussions…