Sonzaschool
Back

O-Level · Form 2

Kiswahili

Misimu

about 4 minutes to read

Discussions
Topics in this sectionMatumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mbalimbali5 topics

Misimu au simo ni maneno yanayosanifu yanayozuka au zushwa na kikundi cha watu wachache wenye tamaduni moja ili kuelezana mahusiano yao kama kikundi au kuhusu jamii kubwa ambamo vikundi hivyo vinaishi katika kipindi fulani cha muda. Hatimaye maneno hayo hupotea na yanayodumu husanifiwa na kuwa msamiati rasmi wa lugha inayohusika.

Tutor

Reading this lesson? Ask me to explain anything in it.

Sign in to ask the Sonza AI Tutor about this topic.

Sign in to ask

Discussions

No questions yet

Sign in to ask
Loading discussions…