Sonzaschool
Back

Primary · Standard 7

Kiswahili

Ufupisho wa Habari na hadithi

about 3 minutes to read

Discussions
Topics in this sectionUfupisho Wa Habari Na Hadithi1 topic
  1. Ufupisho wa Habari na hadithi

Ili ufupisho uwe mzuri hatua zifuatazo hazina budi kufuatwa:

  1. Kuisoma na kuisikiliza habari kwa makini ili kueleweka vizuri.
  2. Kutambua na kubaini mawazo makuu yanayojitokeza katika kila aya.
  3. Kuyaunganisha mawazo makuu na kuandika au kuelezea ufupisho wa habari hiyo kwa maneno yako mwenyewe bila kupotosha maana ya habari ya kwanza.
  4. Kuhesabu idadi ya maneno ya ufupisho ili kuyapunguza ikiwa yanazidi idadi inayotakiwa.
  5. Pitia tena habari ya mwanzo na pitia tena ufupisho ili kujiridhisha kuwa hujaacha taarifa yoyote ya muhimu.

Question

Ni kipi kati ya vifuatavyo ni umuhimu wa ufupisho?

Sign in to submit your answer and have it count toward your mastery.

Sign in to practice

Tutor

Stuck? Ask me anything about this topic.

Sign in to ask the Sonza AI Tutor about this question.

Sign in to ask

Discussions

No questions yet

Sign in to ask
Loading discussions…