O-Level · Form 1
Historia ya Tanzania na Maadili
Syllabus2023 Syllabus
A short adaptive test to see where you stand.
Take a diagnosticLevel
Topics
Kulinda historia, urithi na maadili ya Taifa
10 topicsKuelezea chimbuko la jamii za Kitanzania na maadili yake
3 topicsKumudu maarifa na ujuzi wa maadili na urithi wa jamii za Kitanzania
2 topicsKutumia maarifa na ujuzi wa historia na urithi kubuni fursa mbalimbali zilizopo katika jamii za Kitanzania
3 topicsKubaini fursa mbalimbali za kujenga ushirikiano na kukuza uchumi wa kitaifa
2 topics
Kumudu historia ya jamii za Kitanzania na maadili yake kabla ya ukoloni
8 topicsKuchambua mifumo ya kijamii (elimu, afya, utamaduni, uchumi) iliyokuza na kuendeleza maadili ya jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni
2 topicsKuchambua mifumo iliyokuza na kuendeleza uchumi na siasa katika jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni
4 topics- Kubaini mifumo ya kiuchumi na kisiasa katika jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni→
- Kueleza jinsi mifumo ya kisiasa na kiuchumi ilivyokuza na kuendeleza shughuli za kiuchumi na kisiasa kabla ya ukoloni→
- Kufafanua uhusiano kati ya jamii za Kitanzania na za Mashariki ya Kati, Mashariki ya Mbali na Ulaya katika kuendeleza shughuli za kiuchumi na kisiasa kabla ya ukoloni→
- Kutathmini mchango wa mifumo ya kisiasa na kiuchumi katika kukuza maadili ya jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni→
Kutathmini vichocheo vya mabadiliko ya sayansi na teknolojia katika jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni
2 topics