O-Level · Form 2
Historia ya Tanzania na Maadili
Syllabus2023 Syllabus
A short adaptive test to see where you stand.
Take a diagnosticLevel
Topics
Kumudu historia ya Tanzania na maadili wakati wa ukoloni, 1890–1960
10 topicsKutumia maarifa na ujuzi wa chimbuko na ukuaji wa mfumo wa ukoloni kuelewa uhusiano wa kihistoria kati ya Tanzania na mataifa yaliyoitawala
3 topicsKutathmini athari za mfumo wa ukoloni kwenye maadili ya jamii za Kitanzania
3 topicsKuchambua jitihada za jamii za Kitanzania kupinga ukoloni na maadili ya kikoloni
4 topics- Kubaini sababu za jamii za Kitanzania kupinga uvamizi wa kikoloni, ukoloni na maadili yake→
- Kujadili njia mbalimbali zilizotumika na jamii za Kitanzania kupinga uvamizi wa kikoloni, ukoloni na maadili yake→
- Kufafanua misingi na mbinu zilizotumika kupigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar→
- Kutathmini mchango wa harakati za kupinga uvamizi na ukoloni katika kutunza maadili ya Kitanzania na kujenga uzalendo→
Kumudu historia ya ujenzi wa Taifa la Tanzania na maadili katika kipindi cha 1961–1966
4 topicsKuchambua mifumo ya uchumi, siasa, utamaduni jamii na maadili iliyojengwa 1961–1966
2 topicsKumudu historia ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
2 topics