Primary · Standard 3
Historia ya Tanzania na Maadili
Syllabus2023 Syllabus
A short adaptive test to see where you stand.
Take a diagnosticLevel
Topics
Kulinda historia ya Tanzania, urithi na maadili ya Taifa
13 topicsKumudu dhana ya historia ya Tanzania, urithi na maadili
2 topicsKumudu maarifa ya jamii inayomzunguka
3 topicsKutumia maarifa na ujuzi wa jamii inayomzunguka kusimulia asili, urithi na maadili ya jamii husika
5 topics- Kubaini asili za jamii zinazomzunguka (tamaduni, mavazi, chakula, ngoma, michezo na nyimbo)→
- Kufafanua umuhimu wa maarifa, ujuzi wa asili na urithi wa kihistoria kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii→
- Kubaini mbinu za kutumia maarifa na ujuzi wa asili katika kuboresha ustawi wa jamii→
- Kusimulia maarifa na ujuzi wa asili, asili za jamii na urithi wa kihistoria katika mazingira yake (mf. nyumbani, shuleni)→
- Kueleza thamani ya asili na urithi wa kihistoria katika jamii inayomzunguka→
Kutathmini ushirikiano baina ya jamii za Kitanzania katika kujenga uhusiano wa kijamii na kiuchumi
3 topics
Kumudu historia ya Tanzania na maadili kabla ya ukoloni
4 topicsKuelezea mifumo mbalimbali ya utunzaji na ukuzaji wa maadili ya jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni
4 topics- Kueleza mifumo ya uongozi katika ngazi ya familia, ukoo na shule→
- Kueleza misingi ya ukuzaji na utunzaji wa maadili katika jamii inayomzunguka→
- Kueleza mchango wa uongozi wa ukoo katika utunzaji na ukuzaji wa maadili ya jamii kabla ya ukoloni→
- Kubaini wajibu wa jamii katika ujenzi wa maadili ya familia→