Primary · Standard 4
Kiswahili
A short adaptive test to see where you stand.
Take a diagnosticLevel
Topics
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali
9 topicsKuendeleza mazungumzo katika miktadha mbalimbali
5 topics- Kulinganisha vitu kwa kutumia maneno (kuliko, zaidi ya, kama, mithili ya na mfano wa) katika miktadha mbalimbali→
- Kusimulia matukio kwa kuzingatia njeo za wakati: uliopo (-na-), uliopita (-li-), ujao (-ta-); na hali timilifu (-me-) na mazoea (hu-)→
- Kujieleza kwa kujiamini→
- Kuunga mkono au kupinga wazo kwa hoja na mifano rahisi→
- Kutumia nahau na methali katika mazungumzo→
Kutumia maandishi katika mawasiliano kulingana na miktadha mbalimbali
4 topics- Kutunga matini sahili kwa kutumia alama za uakifishaji (kistari kifupi, mkwaju, mabano na funga/fungua semi)→
- Kutumia nyakati na hali kwa usahihi katika uandishi wa kifungu cha habari→
- Kuandika matini sahili kwa kuzingatia mtiririko sahihi wa mawazo→
- Kuandika barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo sahihi→
Kuonesha uelewa wa jambo alilosikiliza au kulisoma
6 topicsKuonesha stadi za kusikiliza na kuelewa
3 topicsKusoma matini kwa ufasaha na ufahamu
3 topics
Kuwasilisha hoja kwa mazungumzo na kwa maandishi kulingana na muktadha
7 topicsKuwasilisha hoja kwa njia ya mazungumzo katika miktadha mbalimbali
3 topicsKuchanganua mawazo yaliyowasilishwa katika matini mbalimbali
3 topicsKuonesha stadi za awali za ubunifu wa kazi mbalimbali za Kiswahili
1 topic