Sonzaschool
Back

Primary · Standard 6

Kiswahili

Methali na Nahau

about 6 minutes to read

Discussions
Topics in this sectionKuonesha Uelewa Wa Jambo Ulilolisikiliza Au Kulisoma6 topics

Kamilisha methali zifuatazo

  1. Ada ya mja hunena, muungwana ni kitendo
  2. Avumae baharini papa, na wengine wamo
  3. Furaha ya mwenye meno, kibogovo hashiriki naiaii yaku iiaianiu &wa niwenzano
  4. Hapana siri ya watu wawili
  5. Hen kenda shika kuliko kumi nenda rudi
  6. Ivumayo haidumu
  7. Jembe halimtupi mkulima
  8. Kata pua uunge wajihi
  9. Kataa neno usikatae wito
  10. Kauli ni bora kuliko mali
  11. Heri umfadhili mbuzi bmadamu ataakuudhi
  12. Kipendacho roho, hula nyama mbichi
  13. Kitanda usichokilalia huwajui kungum wake
  14. Kuishi kwingi ni kuona mengi
  15. Kuku mgeni hakosi kamba mguuni
  16. Kuteleza siyo kuanguka
  17. Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi
  18. La kuvunda halina ubani
  19. Leo ni leo asemaye kesho ni mwongo
  20. Macho havana pazia
  21. Maji hufuata mkondo
  22. Mali bila daftari hupotea bila habari
  23. Manahodha wengi chombo huenda mrama
  24. Mbio za sakafuni huishia ukingoni
  25. Mkataa pema pabaya panamuita
  26. Mkono mtupu haulambwi
  27. Mla mla leo mla jana kala nini?

Tutor

Reading this lesson? Ask me to explain anything in it.

Sign in to ask the Sonza AI Tutor about this topic.

Sign in to ask

Discussions

No questions yet

Sign in to ask
Loading discussions…