Sonzaschool
Back

Primary · Standard 6

Kiswahili

Uchambuzi wa Habari

about 4 minutes to read

Discussions
Topics in this sectionKuonesha Uelewa Wa Jambo Ulilolisikiliza Au Kulisoma6 topics

Hali ya hewa ni jumla ya hali tofauti zinazomzunguka mwanadamu katika mazingira yake. Mfano upepo, baridi, joto, kipupwe, mvua n.k. kila hali ya hewa huweza kuoneshwa kwa dalili ambazo huleta athari fulani katika mazingira. Miongoni mwa hali hizo za hewa ni ukungu, upepo, joto, baridi na mvua

Shughuli za binadamu zinategemea hali ya hewa ya mahali. Kila kipengele cha hewa ni muhimu katika shughuli za binadamu. Vipengele vya hali ya hewa vinatakiwa viwe na uwiano sawa.

Tutor

Reading this lesson? Ask me to explain anything in it.

Sign in to ask the Sonza AI Tutor about this topic.

Sign in to ask

Discussions

No questions yet

Sign in to ask
Loading discussions…