O-Level · Form 1
Kiswahili
A short adaptive test to see where you stand.
Take a diagnosticLevel
Topics
Kumudu misingi ya Kiswahili
4 topicsKutambua Kiswahili kama kielelezo cha utaifa na utambulisho wa Mtanzania
1 topicKukuza uelewa wa sarufi ya Kiswahili
3 topics- Kusimulia habari na matukio kwa kuzingatia kiimbo, mkazo, na lafudhi pamoja na dhima zake→
- Kuandika hadithi kwa kuzingatia mpangilio na uhusiano sahihi wa maneno (nomino, vivumishi, vielezi, viwakilishi, vitenzi, vihisishi, vihusishi na viunganishi) katika sentensi→
- Kuandika hadithi kwa kuzingatia mpangilio na uhusiano sahihi wa sentensi katika aya→
Kumudu lugha ya mazungumzo na ya maandishi
7 topicsKusikiliza na kuelewa mazungumzo
3 topicsKusoma matini kwa ufasaha na ufahamu
4 topics- Kusoma matini fupi changamani kwa kuzingatia alama za uandishi, kasi sahihi na kiimbo cha tungo→
- Kueleza namna alama za uandishi na kiimbo vinavyoathiri ujumbe katika usomaji wa matini fupi changamani→
- Kuandika hoja kuu kutoka katika matini fupi changamani alizozisoma kwa kuzingatia sifa za lugha ya maandishi (mf. alama za uandishi, miunganiko sahihi ya tungo, usanifu)→
- Kutumia TEHAMA kutafuta maana ya maneno mapya kutoka katika matini aliyoisoma→
Kuwasiliana katika miktadha mbalimbali
5 topicsKutumia kamusi katika miktadha mbalimbali
2 topicsKuwasiliana kwa ufasaha kwa njia ya mazungumzo
2 topicsKuwasiliana kwa njia ya maandishi katika miktadha mbalimbali
1 topic