Sonzaschool
Back

Primary · Standard 4

Historia ya Tanzania na Maadili

Kueleza dhana ya maendeleo ya jamii (maana, viashiria na umuhimu)

about 3 minutes to read

Discussions
Topics in this sectionKuelezea maendeleo ya jamii za Kitanzania na maadili yake kabla ya ukoloni6 topics

Maendeleo ni hali ya ongezeko au kupiga hatua fulani mbele. Maendeleo huhusisha ukuaji wa vitu, maarifa au uwezo wa mtu au jamii.

Kwa mfano, mtoto anaposoma darasani na kila siku anajifunza maneno mapya, huyo mtoto anapata maendeleo katika ujifunzaji. Hii ina maana kwamba maendeleo ni kutoka hatua moja ya chini kwenda juu.

Question

Maendeleo ni neno linalomaanisha nini?

Sign in to submit your answer and have it count toward your mastery.

Sign in to practice

Tutor

Stuck? Ask me anything about this topic.

Sign in to ask the Sonza AI Tutor about this question.

Sign in to ask

Discussions

No questions yet

Sign in to ask
Loading discussions…