Sonzaschool
Back

Primary · Standard 4

Historia ya Tanzania na Maadili

Kubaini mchango wa maendeleo ya sayansi na teknolojia ya asili katika kuendeleza shughuli za uchumi na maadili kabla ya ukoloni

about 4 minutes to read

Discussions
Topics in this sectionKuelezea maendeleo ya jamii za Kitanzania na maadili yake kabla ya ukoloni6 topics

Sayansi na teknolojia ya asili ni matumizi ya maarifa na ujuzi ambao watu wa kale walikuwa nayo katika kuyakabili mazingira yao. Maarifa haya yalitokana na utamaduni, rasilimali za asilia, na watu wenyewe. Sayansi na teknolojia ya asili ilihusisha uvumbuzi, ubunifu na majaribio katika kutengeneza zana mbalimbali. Lengo lilikuwa kutatua matatizo na kurahisisha kazi za kila siku.

Question

Sayansi na teknolojia za asili kabla ya ukoloni zilihusisha upi kati ya mambo yafuatayo?

Sign in to submit your answer and have it count toward your mastery.

Sign in to practice

Tutor

Stuck? Ask me anything about this topic.

Sign in to ask the Sonza AI Tutor about this question.

Sign in to ask

Discussions

No questions yet

Sign in to ask
Loading discussions…