Primary · Standard 4
Historia ya Tanzania na Maadili
Syllabus2023 Syllabus
A short adaptive test to see where you stand.
Take a diagnosticLevel
Topics
Kulinda historia ya Tanzania, urithi na maadili ya Taifa
1 topicKumudu maarifa ya jamii inayomzunguka
1 topic
Kumudu historia ya Tanzania na maadili kabla ya ukoloni
9 topicsKuelezea mifumo mbalimbali ya utunzaji na ukuzaji wa maadili ya jamii za Kitanzania kabla ya ukoloni
3 topicsKuelezea maendeleo ya jamii za Kitanzania na maadili yake kabla ya ukoloni
6 topics- Kueleza dhana ya maendeleo ya jamii (maana, viashiria na umuhimu)→
- Kueleza shughuli za maendeleo ya jamii na uchumi (kilimo, ufugaji, uhunzi, ususi, ufinyanzi, uvuvi na makazi) na maadili yake kabla ya ukoloni→
- Kubaini michango ya shughuli za uchumi kabla ya ukoloni katika maendeleo ya jamii→
- Kubaini ushirikiano na uhusiano wa kiuchumi na kijamii baina ya jamii kabla ya ukoloni→
- Kubaini mchango wa maendeleo ya sayansi na teknolojia ya asili katika kuendeleza shughuli za uchumi na maadili kabla ya ukoloni→
- Kubaini wajibu wa jamii katika kuendeleza shughuli za uchumi na maadili yake kwa sasa→
Kumudu Historia ya ujenzi wa Taifa la Tanzania na maadili katika kipindi cha 1961-1966
2 topicsKutumia alama za Taifa kama utambulisho wa Tanzania
2 topics